Articles by "October 25"
Showing posts with label October 25. Show all posts

Wimbo wake wa NILIPE ni kwa niaba ya wanasaa kulilia malipo yao.Si kwa makampuni iyanayokusanya hati za wanasanaa tu, bali hata pia kwa mashabiki, event organisers, managers wanao,manage wasanii na wote wanaostahili kulipa wasanii kwa njia moja au nyingine. Ni takriban tu mwezi mmoja baada ya kuachia wimbo huo, PRISK (Performers’ Rights Society of Kenya) ilitangaza ya kwamba itagawanya Milioni Kshs28 kwa wasanii na waigizaji ikiwa ni malipo ya hati zilizokusanywa kufikia Disemba31,2015. Pengine huo ndio msukumo wa wimbo huo ulipofika, BENSO anajipanga kuachia wimbo na video mpya mwishoni mwa wiki hii. Project hio ambayo amewashirikisha Kigoto na GeeGee nakuandaliwa na Producer BEATSBOYinaitwa KARIBUMOMBASA.Wimbo ambao unaongelea uzuri wa mji wa Mombasa na haswaa kua kivutio cha utalii. Anachoongelea zaidi katika wimbo huo mpya ni mandhari mazuri ya mji wa Mombasa, vyakula vizurii, utamatuduni na ukarimu wa wenyeji wa Mombasa. Ni wimbo ambao utapatkana bure kuu,download tofauti na nyimbo zingine ambazo hua mtu anazilipia.


Alipochukuliwa na SwaRnB ilikua ni wazi ya kwamba Masauti alikua ametoboa kimziki kwani anayemiliki recording label hio ni producer mkongwe ambaye ana uzoefu mkubwa katika sanaa kwani hata yeye ndiye aliyewatambulisha Necessary Noize, Kalamashaka, GidiGidi, MajiMaji nawasanii wengi tajika. Mashabiki walitarajia hit baada ya hit lakini kwa kipindi cha mwaka mmoja project iliyoweza kuzaliwa kutoka kwa ndoa hio ya kikazini moja tu! Mashabiki walianza kulalamika kusema ya kwamba msanii huyo anapotezwa kwani kipaji alichonacho na ukizingatia ya kwamba yuko na management hafai kua msanii wakufanya project moja kwa mwaka. Mapema mwezi huu ndio tulipata fununu ya kwamba Masauti hayupo tena SwaRnB, akatugusia tu kwa kutudokezea ya kwamba kuna vitu havikua vinaenda kama ilivyotarajiwa ndio maana wakasitisha mkataba. Hatimaye Masauti ameamua kufunguka kwa kina kilichopelekea mkataba huo kufika kikomo, vilevile ameeleza mipango yake na Kigoto na management flani inayomnyemelea katika mahojiano yake na Kelvin Jilani/ Mswazi Masauti Aanika Kilichomtoa SwaRnB.


On 24th October 2016, Manchester United (Man U in short) were competing against an in-form title rival at a ground Mourinho once made a fortress against a team he should know inside out – parking the bus seemed inevitable. Instead, United were absolutely destroyed, looked devoid of energy and were easily torn apart.Kenyans on the internet could not help but make fun of both the legendary football club together with their fans. As Trending Post, we decided to compile a few hilarious jokes and memes following Chelsea FC’s 4-0 win against Manchester United FC. Check them out; Over the week, people who have gone back to their former clubs have each received 4 goals; Guardiola went back to Camp Nou and took 4, Van Persie came back to Old Trafford and took 4 so I was wondering who is next until I heard Mourinho and Mata were also coming back to Stamford Bridge.😂 I invited a Manchester United fan over to watch the game with me, he’s gone but he left his PHONE BEHIND, BUT MY WORRY NOW IS, I CAN’T FIND MY TV REMOTE. 😆 Whatever wrong Mourinho did to us at Chelsea, we have 4-Given and 4-Gotten.😆 Oxford Dictionary: Ibrahimovic – a tall gigantic but good for nothing person. Example: Pogba is an Ibrahimovic.✅ FIFA 17 difficulty modes The first goal was prepared and scored in 30 seconds, Indomie is even prepared within 2 minutes. Why United? PEDRO scored first, PEDRO actually MEANS P3 ADURO (SO UNITED SEEK FOR MEDICINE) This morning vibes between mourinho and his wife. Mourinho’s wife:Honey its 5 Mourinho:Whaaat!!! Have they scored again??? Mourinho’s wife:Nope its 5am wake up KCSE 2017: Answer all the questions If Arsenal beat Chelsea 3-0 and Chelsea beat Man U 4-0. Calculate how many goals Arsenal will beat Man U. Use the formulas: Pogba is constant and Mourinho = Moyes and Sanchez, Ozil and Walcott are on form. (20 marks) Kidogo kidogo unapanda mat unaskia donda KAENI MANCHESTER MANCHESTER apo, yaani mkae WANNE WANNE The worst disease; Barcelona 4-0 Manchester City​ Chelsea 4-0 Manchester United​ I think the city of Manchester​ has been affected by a virus known as FOURNILL- THROMBOSIS​ BREAKING NEWS: Chelsea have given Manchester United (4) four free Yokohama tyres at Stamford Bridge to use in their Chevrolet Car. 😂😂 😂😂😂😂 Shared via Whatsapp On 24th October 2016, Manchester United (Man U in short) were competing against an in-form title rival at a ground Mourinho once made a fortress against a team he should know inside out – parking the bus seemed inevitable. Instead, United were absolutely destroyed, looked devoid of energy and were easily torn apart. -Advertisement – 1. 2. 3. 4. 5. Legendary World class Professional Semi-pro Amateur Manchester United 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12.


Ushindi wa kishindo wa Wizkid kwenye tuzo za MTV MAMA mwaka huu, unanikumbusha wale wanafunzi wa kiume ambao huwa hawana time kabisa na wasichana wa darasani, lakini bado watamnasa kila demu mkali. Wanafunzi wa aina hii ni wale ambao huwa na akili sana darasani au kwao mambo safi (wana mkwanja) – vitu viwili muhimu vinavyowadatisha madenti wa kike! Warembo hujipeleka wenyewe! Tangu kutangazwa kwa majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu, Wizkid hakuwahi kusema chochote. Alikuwa kimya tu utadhani hakuna kinachoendelea licha ya kuwepo kwenye vipengele vingi. Hakuwa na muda wa kusema ‘thanks for the nomation.’ Hakuwa na hata muda wa kusema ‘jama eeh, mwenzenu nimetajwa kwenye MTV MAMA hebu nipigieni kura.’ He didn’t give a damn! Si ajabu lakini kwasababu ni kawaida yake bwa’mdogo huyu. Yeye tuzo huziona kitu cha kawaida, mpe sawa, mnyime, fresh tu! Ehh! Jumamosi kaibuka na tuzo nne, kawa ‘man of the night.’ Unadhani ni kura ndizo zimempa ushindi wa tuzo zote hizo? Napata tabu kuamini. Msanii mmoja mkubwa sana ameniambia, namnukuu: Sometimes KURA zinapotosha. Watu wamepiga kazi nzuri ila kura zinapick wengine.” Anachomanisha kuwa, msimamo wa Wizkid kutojishughulisha na kusema lolote kuhusu tuzo, kunaweza kukawa kulimfanya asipate kura nyingi kihivyo, lakini ukweli ni kwamba, hakuna msanii Afrika aliyefanya makubwa kumzidi Wizkid mwaka huu. Alishirikishwa kwenye wimbo ‘One Dance’ wa Drake ambao umeweka rekodi kibao ikiwemo ya kusikilizwa mara bilioni 1 kwenye mtandao wa Spotify na kuwa wa kwanza kuwahi kuvutia namba hizo. Wizkid amefanya kazi na Chris Brown, Trey Songz, French Montana na wasanii wengine wakubwa. Ndio msanii anayefanyia kazi Afrika anayefahamika zaidi kwa sasa Marekani. Hata kama hakuonesha kuzitilia maanani tuzo hizo, ilikuwa ngumu kumkwepa. Fundisho hapa ni kwamba, wingi wa kura unaweza usiwe na maana yoyote katika kumpata mshindi. Haiko sawa kwa namna yake ndio maana Eddy Kenzo amelalamika. Kwamba kama waandaji wanasisitiza watu wapige kura, lakini waliopigiwa kura nyingi hawapewi ushindi, ya nini kuwaambia watu wapige kura? Ni sawa na kampuni kutangaza ajira na kuwafanyia usaili baadhi ya waombaji huku ikiwa na watu wengine itakaowapa kazi. Hatuna ulazima wa kujilaumu au kuumia sana au kuushusha muziki wetu. Wasanii waliotuwakilisha wamefanya kazi kubwa na ngumu kuipeperusha bendera ya Tanzania. Tusiwabeze, tuwape moyo na kuwaunga mkono bila kuchoka. Katika kipindi wanachohitaji zaidi support yetu, basi ni hiki. Bongo5